Cybergen

training@cybergentraining.co.tz | Call Us: +255767880040

Our Testimonials

REVIEWS FROM OUR CLIENTS

With cybercrime on the rise, Cybergen's training provided essentials skilla to tackle digital threats. The hands-on approach and the instructor's thoughtful pacing made complex topics easy to understand. This knowledge is invaluable for quicker, more effective problem-solving in today's tech-driven world.
IDA RAPHAEL MSAKY
Ministry Of Home Affaris (Tanzania)
Darasa ni zuri na mkufunzi alikuwa vizuri na alituwezesha kujua nini kinatakiwa, na nini kifanyike, kwa wakati gani. Binafsi nawapongeza kwa kuandaa darasa zuri kwa mazingira na masomo. Tutakapokuwa na mafunzo mengine au wadau wetu watakaohitaji mafunzo sitosita kuwaunganisha nanyi.
DOTTO ANDREW SANJO
ICT Officer
Cybergen Training kiufupi imejikita zaidi kwenye ulimwengu halisi wa kuwanoa wataalamu wa IT ili kuendana na mashambulizi/mapigano ya uhalifu wa mtandao pamoja na ulinzi wake hivyo imewawezesha wataalamu wa Kitanzania kuendana na Dunia ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa TEHAMA. Kwa kumalizia nishauri Cybergen wawe beneti ama karibu na Taasisi na Wizara za Kiserikali kwenye masuala ya Cybersecurity.
ALLAN ANDREA KIHULA
Network Administrator, from TPS
Kiujumla training hii ya Advanced Cybersecurity ilikuwa nzuri sana na kwa upande wangu nimeweza kujifunza vitu vingi sana ambavyo vitanisaidia katika majukumu yangu ya kila siku sehemu yangu ya kazi. Facilitator wa mafunzo pamoja na team nzima ya Cybergen wamefanya mafunzo haya yawe ya kuvutia na hayakuwa ya kuchosha maana yalikuwa yako very practical na tumefanya mazoezi mengi ya kutosha. Nawashauri watumishi wenzangu wote wasiache kuhudhuria mafunzo wanapopata nafasi.
Isabella Ngalawa
PICTO
Mafunzo ya Advanced Cybersecurity yaliyotolewa na Cybergen yamekuwa mazuri, aidha napendekeza siku za mafunzo ziongezwe kutokana na umuhimu wa mafunzo ya Cybersecurity. Nimefurahi pia kuona walimu wenye weledi na maswala ya Cybersecurity kutoka katika Taasisi yenu
ISACK TUNGUYA
HEAD OF ICT UNIT
Cybergen Training wamenifundisha kozi ya CEH; wana walimu wazuri sana na wenye ujuzi mzuri. Binafsi nimeweza kuelewa kozi hii vizuri sana. Natamani nipate kozi nyingine tena katika taasisi yao. Aidha wakati wa mafunzo waliweza kufundisha practical (Lab practical) za kozi ya CEH. Nashauri watumishi wengine wa umma wapate nafasi ya mafunzo katika taasisi hii.
MUSSA PATRICK CHIWELENJE
ICT Officer
Before attending Cybergen's cybersecurity training, my main challenge was the lack of practical, hands-on experience. Compared to previous trainings, this one provided exactly what i needed a focus on real-world application. The trainer's expertise stood out; they ensured we understood each concept and then applied it practically What l appreciated most was the supportive teaching approachany time i faced a challenge, the trainer adapted to my level and guided me through it.
DANIEL KIPELE
Tanzania Telecommunications Corpotation Limited
Cybergen Training was super awesome, specifically, I liked the way the instructor made it interactive even though the materials covered were huge, time management of the training made it possible for a lot to be covered. I thank Cybergen for the preparation they made in terms of materials and labs. For sure training was enjoyable.
GILBERT GERVAS MAKERO
SICTO from eGA
The Cybergen Training is well designed to meet the current ICT market needs. The tracks covered in the training were relevant to me, most of the things I learned are directly related to my current job responsibilities. Thank you for the training.
Nasolua M. Shilla
SICTO
Mafunzo yamekuwa mazuri sana na very professional. Vitu vya kusoma vilikuwa vingi na very interesting. Nilitamani siku zingekuwa nyingi zaidi ili kuweza kujifunza zaidi.
MBWANA M MBWANA
ICTO
Mafunzo yamefanyika vizuri sana maana vitendo vilikuwa vingi sana na kusababisha wanafunzi kuelewa sana.
SHUKURU M LINGAME
Cybergen training has been a game-changer! It provided clear pathways to achieve practical goals and offered exactly what l had been missing in previous trainings-hands-on practice. What I enjoyed most was the practical approach, which made the experience not only impactful but also fun and insightful. Thank you, for this transformative journey!
SPECIOZA CONSTANTINE
Ministry of Water (Tanzania)
The training is impressive and gives us more details about protecting our organization from dangerous activities that can harm our institutional data. I would like to thank Cybergen and the trainer for their wonderful instructions and lessons that taught us all day that we are together.
TAJIRI JUMA MACHANO
ICT officer
Mafunzo ya CEH V13 Ni muhimu ili kuweza kulinda mifumo na rasilimali za Tehama dhidi ya wahalifu wa kimtandao, ikizingatiwa kuwa taasisi za kiserikali nazo pia zimeanza kutoa huduma kwa njia ya kimtandao ili kuwafikia watu wengi zaidi na kurahisisha uchakataji taarifa. Katika mafunzo haya tumejifunza kwa nadharia na kwa vitendo na ujuzi tulioupata tutautumia kwa manufaa ya taasisi zetu. Uhalifu wa kwenye mitandao hautakuwa na nafasi kama maafisa Tehama watawezeshwa kimafunzo.
AMANI DESTURY MWENYA
ICTO from Immigration Department
The training was great, I love the tutors and the way material was presented in interactive way. The place, the food, free Wifi, all that make my training enjoyable.
Andrea R. Masaki
Mfunzo haya yaliyotolewa na Cybergen ya Ethical Hacking yalikuwa na mchango mkubwa sana kwangu kwa kuwa yameniongezea ufahamu, elimu na ujuzi wa usalama wa mifumo ya Tehama. Aidha mafunzo haya yalijikita kwenye mafunzo kwa vitendo hivyo yamesaidia kuonyesha ni kwa namna gani udhaifu uliopo kwenye mfumo unaweza kutumiwa na wadukuzi na kupelekea kuvuja kwa taarifa za taasisi. Ninashauri na kupendekeza kuwa taasisi mbalimbali ziwapatie wafanyakazi wake mafunzo kupitia kampuni ya Cybergen.
Hamis Mahmoud
I recently completed the Ethical Hacking Training course with Cybergen in Mwanza, and it was an exceptional experience. The instructors were highly knowledgeable, and the concepts were easy to understand. The hands-on labs and real-world scenarios allowed me to practice and enhance my skills effectively.
ALI MFAKI SULEIMAN
Head of ICT
Honestly the training went well, It was excellent. I personally gained a lot of tools some of which were in my knowledge but could not use them effectively. The training provided us with ample time and environment to practice. The facilitator was an excellent professional who delivered the training effectively.
NANCY ROBERT WARIOBA
PICTO from PSSSF
Training nzuri sana inaleta awareness kwa taasisi na wafanyakazi pia. Nashauri viongozi wa kitengo cha Cybersecurity katika organizations wapatiwe training kama hizi. Tuangalie pia namna ya kuwafikia wananchi ambao wengi hawana awareness, hili linaweza fanyika kwa kushirikiana na Serikali. Nashauri pia ziandaliwe offer kama discount au free online training kwa ajili ya wanafunzi wa fani hii katika vyuo mbali mbali nchini. Niwashukuru kwa program hii imetufaa saana.
HALIDI HAMIS NYANGE
SICTO from MICIT
Kabla ya kuja Cybergen nilikuwa sijui chochote kuhusu CEH v13, Nashukuru sana kupata training hii kwani imenitoa from zero to hero. Mafunzo haya yataniwezesha kuyatumia vizuri katika ofisi yangu na kuanzisha kitengo cha cybersecurity ili kuweza kumonitor kazi zote zinazofanywa na watumiaji wa mfumo wetu wa malipo.
Abdillah H. Amour
ICT Officer
Cybergen kwenye training wapo vizuri sana maana nimewahi kuhudhulia training zao. Zaidi nilichopenda kwenye training zao wanakufanya ujiweke kwenye upande wa kufanya vitu very professional pia walimu wao wanakuwa ni wenye uzoefu kwenye eneo wanalofundisha, licha ya kuwa na utaalamu pia wanafanya kazi katika maeneo hayo, hivyo wanakupa mifano halisi ya kisasa kulingana na trends za technology.
RASHID KHALID
HEAD OF ADVISORY AND CONSULTANCY
Need Help?